Wednesday, 26 March 2014

26 MARCH 2014 BUNGE LA AKHIRISHWA DAKIKA 16 TUUU


MKANGANYIKO JUU YA NDEGE YA MH 370 AIR MALYASIA ILIYOPOTEA

Na.
Dezidery Kajuna
 
Neno mkanyinko utumika mara kwa mara, lakini je umewahi kuwa na mkanganyiko juu ya jambo lolote? Vipi kuhusu MH 370? Sasa ni dhahili kuwa kupotea Kwa ndege ya MH370 ya huko nchini Malyasia inazidi kulete mkanganyiko mbaya zaidi kuwahi kutokea katika ajali za ndege tokea huko nyuma.