Maiti ya kijana Kassim Said Mboya mkazi wa jijini Dar es salaam imekutwa na kete 65 zinazodhaniwa kuwa ni za madawa ya kulevya, maiti ya kijana huyo ilikutwa kwenye basi la kampuni ya Taqwa eneo la Kasulum likitokea Dar kuelekea Malawi.

Baadhi ya picha za tukio hilo

Dactari akichunguza mwili wa marehem huyo



Maiti ya kijana Kassim Said Mboya akiwa Chumba cha Upasuaji kuondolewa Dawa hizo


Kete inayosadikiwa kumuua kijana huyo baada ya Kupasukia tumboni



Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya akitoa taarifa kwa waandishi wa habari hukusu tukio hilo



Kete alizokutwa nazo tumboni kijana huyo baada ya kufanyiwa upasuaji Hosp ya Rufaa Mbeya



Kulia ni kamanda wa polisi Mkoa wa Mbeya akiwa amevalia mavazi maalum kwenye chumba cha
kuhifadhia maiti




Chanzo: MATUKIO NA MICHAPO BLOG