Monday 30 September 2013

STAND FOR YOUR RIGHT- IT IS YOUR RIGHT!

Miongoni mwa wafugaji wa jamii ya Kidatoga waishio kijiji cha Vilima Vitatu, wilaya ya Babati mkoani Manyara, Gharibo Gidayinyi akiwa na mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja, Ingiresa Mabee (kushoto), Balozi wa nyumba 10 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Udaghwenga Bwayay (katikati) na Giyamu Mwarisha (kulia) wakishiriki mkutano wao na waandishi wa habari uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.