Tuesday 27 August 2013

*RAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA MPYA JAJI FRANCIS MUTUNGI IKULU DAR ES SALAAM LEO


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi, Ikulu jijini Dar es salaam jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi na viongozi wa vyama vya siasa Ikulu jijini Dar es salaam jana. PICHA NA IKULU