Friday 12 July 2013

LIFE IS ALL ABOUT WHERE YOU ARE HEADING TO

LIFE IS ALL ABOUT WHERE YOU ARE HEADING TO, AND NOT WHERE YOU ARE FROM.
Sometimes I like people who share such amazing words, it keeps someones spirit strong to continue believing on it. 
This is what Mch. Msigwa (CHADEMA Mp) shared on his facebook wall today.
Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9" - Oprah Winfrey

"Sikumaliza hata Elimu yangu ya Chuo" - Bill Gates

"Kwenye Maisha ya Utotoni, Nilidhurumu Viatu" – Abraham Lincoln

"Nilipata sana shida katika kipindi chote nilichokuwa Shule" - Dr Ben Carson

"Nilikuwa nauza Chai Dukani ili niweze kupata Hela kwa ajili kufanikisha Mazoezi" - Lionel Messi

"Nililala Sakafuni kwenye Vyumba vya Marafiki , nikiwa nakusanya Chupa za Coke kwaajili ya Hela ya Chakula, na pia kupata Chakula cha Bure cha Wiki kinalichotolewana Wahisani" - Steve Jobs

"Mwalimu wangu alikuwa akiniita Anayefeli" – Tony Blair

KUMBUKA:
Maisha sio kile ambacho hujakifanya mpaka sasa, ila nijuu ya kile ambacho bado una muda na uwezo wa kukifanya, hivyo…..
USIKATE TAMAA