Friday 12 July 2013

Je unahitaji Chumba cha ku share?

 Soma hili Tangazo na mtaarifu  mwenzako pia!

Ninahitaji mdada wa ku share nae chumba awe muaminifu tu, chumba ni kikubwa na pia kiko na wireless internet,naishi Kanseleren student House -Tøyenkirkken.Nalipa 3224 kr kwa mwezi,awe tayar ku share nusu kwa nusu.

kwa maelezo zaidi, 
Nipigie  96743293 /94728060
 au niandikie kwa email nataemsuya2011@gmail.com

Nashukuru.
PRO.