Thursday 27 September 2012

MATUKIO KATIKA PICHA KUHUSU SIKU YA KUWAAGA WANATASAO WALIOMALIZA VYUO MBALIMBALI OSLO NA HAMAR 12.06.2012

 Wana TASAO wakisubira sherehe kuanza rasmi
 Waliokaa mbele ni wana Tasao waliohitimu katika vyuo mbalimbali
 Janeth Mwakalinga akikabithiwa cheti chake na mgeni rasmi Dr, Tenga
 Bw. Elance Mbilu akakabithiwa cheti chake na mgeni rasmi Dr. Tenga
 Rais mustaafu Bibi Doreen Ndosi na mgeni rasmi Dr. Tenga wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa TASAO
 BwMichael Pima akikabithiwa cheti chake na mgeni rasmi Dr. Tenga
 Rev.Andrew Munisi akikabithiwa cheti vhake na mgeni rasmi
 Mmojawapo ya cheti kilichotolewa siku hiyo ya mahafali ya TASAO
 Sehemu tu ya vyakula vyilivyoliwa siku ya kuwagana na wana TASAO waliomaliza shule