Saturday 22 September 2012

 Mhe Rais Godrick Lyimo kulia, katikati ni rais mstaafu Mhe Doreen Ndosi na kushutu ni Mchg Eilzabeth Silayo mwanafunzi Oslo University

 Wanafunzi wa Tanzania kutoka Hamar ambao wamejiunga na TASAO
 Wanakamati wakiandaa vyakula kwa ajili ya sherehe
Wanafunzi wapya na Mheshimiwa Rais mushaafu Mhe Doreen Ndosi